Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

JE KUNA MADHARA YA KUNYWA MAJI YALIYOTIBIWA NA WATERGUARD KWA MJAMZITO?

 MJAMZITO

• • • • • •

JE KUNA MADHARA YA KUNYWA MAJI YALIYOTIBIWA NA WATERGUARD KWA MJAMZITO?


Utafiti ambayo ulichapishwa na jarida la BioMed Central’s open access journal Environmental health june 5, 2008, 


Ulionyesha kwamba, Matumizi ya maji kwa kunywa ambayo yalitibiwa kwa kutumia Chlorine kwa wanawake wajawazito,


 huongeza uwezakano wa kuzaa watoto wenye matatizo mbali mbali kama vile; Matatizo ya moyo, matatizo ya ubongo pamoja na Midomo sungura au Cleft palate and cleft lip


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.