Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

SABABU ZA MTU KUWA NA TATIZO LA UNENE NA UZITO MKUBWA(obesity)

 UNENE

• • • • •

SABABU ZA MTU KUWA NA TATIZO LA UNENE NA UZITO MKUBWA(obesity)


1. Sababu ya kurithi baadhi ya vinasaba vya tatizo hili au tunasema genetic factor


2. Lishe, kula vyakula vya mafuta zaidi na kujenga mwili kila siku


3. Kufanya kazi za kukaa kwa muda mrefu bila kutenga mda wa kufanya mazoezi yoyote


4. Pia kuna baadhi ya tafiti zinaonyesha kwamba watoto ambao wamezaliwa kwa njia ya operation hupatwa zaidi na tatizo la uzito mkubwa na unene katika umri wa baadae


5. Tatizo la uzito mkubwa huweza kuchangiwa na matumizi ya baadhi ya dawa mbali mbali mfano; dawa za kisukari n.k


6. Mtu kuwa na matatizo kama vile Hypothyroidism


7. kuwa na matatizo ya vichocheo mwilini ambavyo hukufanya uhisi sana njaa kupita kawaida kila dakika


8. Mabadiliko yanayotokea kwa bacteria wazuri tumboni


9. Kunywa pombe kupita kiasi


10. Nk


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.


Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.