Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA TATIZO LA KUVIMBA MDOMO WA JUU

 MDOMO

• • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA KUVIMBA MDOMO WA JUU


Kwa namna moja au nyingine umeshawahi kusikia,kuona au wewe mwenyewe kupatwa na tatizo hili la kuvimba mdomo wa juu.


Na umeshindwa kufahamu kabsa chanzo chake ni nini? au kwanini unapatwa na hali hii, Na kwa baadhi ya watu huanza taribu na uvimbe kuongezeka kidogo kidogo huku wengine huanza kuona hali hii ya kuvimba mdomo wa juu kwa gafla.


CHANZO CHA TATIZO LA KUVIMBA MDOMO WA JUU


Zipo baadhi ya sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia mtu kupata tatizo la kuvimba mdomo wa juu kama ifuatavyo;


✓ Tatizo la Allergy, asilimia kubwa ya watu ambao hupata uvimbe mdomo wa juu ambao hutokea kwa gafla hutokana na Allergy ya baadhi ya vitu hasa ulaji wa baadhi vyakula kama vile; Nyama ya ngo’mbe,mbuzi,kondoo, n.k


✓ Sababu nyingine ya mdomo wa juu kuvimba ni kutokana na Reaction ya dawa flani mwilini, hali hii huweza kutokea baada ya mtu kutumia baadhi ya Dawa flani.


✓ Tatizo la kansa ya mdomoni hasa ikiwa katika hatua za awali


✓ Mabadiliko ya gafla ya vichocheo mwilini


✓ Mtu kupata ajali na kuumia mdomoni

N.k


DALILI ZA TATIZO HILI NI PAMOJA NA;


– Mdomo kuanza kuwasha wenyewe


– Mdomo wa juu kubadilika rangi na kuwa mwekundu


– Mdomo wa juu kuonekana kama una usaha ndani yake


– Kupata maumivu ya mdomo wa juu


– Kupata shida ya kufungua mdomo na kuanza kutafna kitu chochote


– Pamoja na mdomo wa juu kuvimba wenyewe


MATIBABU YA TATIZO LA KUVIMBA MDOMO WA JUU


• Matibabu ya tatizo la kuvimba mdomo wa juu hutegemea na chanzo chake, Mfano; Kama tatizo hili hutokana na allergy ya vitu flani kama chakula,basi dawa mbali mbali za Allergy zitatumika kama vile; Cetrizine n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.