Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UMRI WA MWANAMKE KUBEBA MIMBA

 UMRI NA UZAZI

• • • • •

UMRI WA MWANAMKE KUBEBA MIMBA


Swala la umri katika uzazi wa mwanamke ni la muhimu sana kwani, kadri umri unavyokuwa mkubwa ndipo uwezo wa kubeba mimba hupungua na kufikia hatua ya ukomo kabsa.


Ubora wa yai la mwanamke pamoja na idadi ya mayai hupungua sana kadri umri unavyokuwa mkubwa, na baadhi ya tafiti huonyesha kwamba kwa mwanamke mwenye miaka 40 uwezo wa kubeba mimba ni asilimia 5% tu.


Huku ikikadiriwa kwamba kati ya kipindi cha miaka 45 mpaka 55 ndyo kipindi cha ukomo kabsa wa mayai pamoja na hedhi kukoma yaani Menopause kwa wanawake walio wengi.


Lakini pia kadri mwanamke anavyobeba mimba kwenye umri mkubwa ndivo madhara mbali mbali hujitokeza kama vile;


– Kuzaa mtoto mfu au mtoto kufariki ndani ya muda mfupi baada ya kuzaliwa


– Kujifungua kwa njia ya upasuaji


– Kuzaa mtoto mwenye uwezo mdogo wa kiakili


– Kuzaa mtoto mwenye matatizo mbali mbali ya ubongo na akili


– Kuzaa mtoto mlemavu wa viungo mbali mbali

N.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.