Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

ORODHA YA MAGONJWA AMBAYO HUSABABISHA kichefuchefu,kutapika na Uzito wa mwili kushuka

 MAGONJWA

• • • • •

ORODHA YA MAGONJWA AMBAYO HUSABABISHA kichefuchefu,kutapika na Uzito wa mwili kushuka


Kuna magonjwa mbali mbali ambayo husababisha hali ya kichefuchefu,kutapika na uzito wa mwili kushuka kwa haraka zaidi, na magonjwa hayo ni kama vile;


1. Ugonjwa wa Malaria


2. Ugonjwa wa homa ya matumbo au kwa kitaalam hujulikana kama typhoid


3. Mtu kuwa na tatizo la vidonda vya tumbo


4. Kuwa na tatizo la kansa ya tumbo, kansa ya kongosho n.k


5. Kuwa na magonjwa mbali mbali ya Figo


6. Kuwa na ugonjwa wa kisukari


7. Kuwa na maambukizi kwenye utumbo mdogo


8. Kuwa na tatizo la kuvimba kwa kuta za tumbo ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Gastritis


9. Magonjwa yote ambayo hushambulia koo na kusababisha madhara kama mtu kushindwa kumeza chakula n.k mfano; kansa ya kooni, fangasi wa kooni


10. Tatizo la misuli ndani ya utumbo mdogo kusababisha hali ya mkazo,kujaa gesi,kutapika n.k ambapo kwa kitaalam hujulikana kama intestinal illeus


11. Kuwa na maambukizi ya vimelea vya magonjwa ndani ya utumbo mdogo ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Giardiasis


12. Kuwa na tatizo la utapiaumlo au Malnutrition


13. Tatizo la kula vitu ambavyo vina sumu kama chakula,dawa


n.k


Kumbuka kila ugonjwa una dalili zake japo zipo dalili anbazo huingiliana kwa magonjwa mengi hapa nanukuu msemo mmoja “sio kila homa ni malaria” 


Ikiwa na maana kuna magonjwa mengi huweza kusababisha hali ya joto lako la mwili kuwa juu au mgonjwa kuwa na homa,


Hivo ni muhimu kufanya vipimo kwanza,kabla ya kuanza kutumia dawa


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.