Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI ZA HATARI KWA MTU MWENYE KISUKARI TYPE 1

 KISUKARI

• • • • •

DALILI ZA HATARI KWA MTU MWENYE KISUKARI TYPE 1


Hizi hapa ni baadhi ya dalili za hatari kwa mgonjwa wa kisukari type 1, hivo kama wewe unashida hii ya ugonjwa wa kisukari na unapata dalili hizi nenda hospital kwa ajili ya kupata msaada zaidi;


– Mgonjwa kupata kichefuchefu na kutapika sana


– Mgonjwa kupata maumivu makali ya tumbo


– Mgonjwa kuanza kuwashwa sana ngozi ya mwili


– Mgonjwa Kutoa harufu mbaya wakati wa kutoa na kuvuta hewa au wakati wa kuongea


– Mgonjwa kuanza kuona marue rue


– Mgonjwa kukosa nguvu na kudondoka chini


– Mgonjwa kushindwa kuongea


– Kupoteza uzito wa mwili kwa kasi sana ndani ya muda mfupi


– mgonjwa kuweweseka sana hasa wakati wa usku


– mgonjwa kuwa dalili zote za kuchanganyikiwa,kupoteza fahamu n.k


DALILI zingine za kisukari ni kama vile;


• Mgonjwa kupata kiu sana mara kwa mara


• Mgonjwa kukojoa sana


• Mgonjwa kuhisi njaa sana mara kwa mara


# Kuhusu Kisukari wakati wa Ujauzito Soma zaidi hapa


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.