Shida ya Msongo wa Mawazo,Stress au Depression huweza kusababisha tatizo la kupata choo kigumu
Shida ya Msongo wa Mawazo,Stress au Depression huweza kusababisha tatizo la kupata choo kigumu
Tatizo la Msongo wa mawazo,Stress au Depression huweza kupelekea ukawa na tatizo la kupata choo kigumu,
na kama ulikuwa na tatizo hili hapo kabla, Hali ikazidi kuwa mbaya zaidi,
Hivo unashauriwa kudhibiti tatizo la Msongo wa mawazo, hii itakusaidia na kudhihiti shida ya kupata choo kigumu au constipation.
Fanya mazoezi mbali mbali ya mwili, pamoja na njia nyingine za kudhibiti msongo wa Mawazo.
Kunywa maji ya kutosha kila siku