Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Taulo huweza kuwa chanzo cha Kueneza Magonjwa mbali mbali

Taulo huweza kuwa chanzo cha Kueneza Magonjwa mbali mbali,

Moja ya vitu muhimu ni Usafi wa Taulo, pamoja nakuacha tabia ya Kushare Taulo na Watu wengine,

Kushare Taulo la Kuogea huweza kuwa chanzo cha kusambaza Magonjwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda Kwa mwingine,

Miongoni mwa magonjwa ambayo unaweza kupata kwa Kushare Taulo ni Pamoja na Fangasi, Magonjwa ya Ngozi n.k

• KUMBUKA; KUZINGATIA HAYA

– Usafi wa Taulo la Kuogea

– Kuacha Tabia ya Kushare Taulo na Watu Wengine

– Hakikisha unapata Tiba haraka baada ya kutumia Taulo nakuanza kupata Dalili ambazo sio za kawaida kama vile; Miwasho ya ngozi, ngozi kutoa upele,kuvimba n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.