Magonjwa ambayo huweza kuzuiwa kwa Njia ya CHANJO
Magonjwa ambayo huweza kuzuiwa kwa Njia ya CHANJO
Haya hapa ni baadhi ya magonjwa ambayo mojawapo ya njia ya kupambana nayo ni kujikinga kwa Kutumia Chanjo:
1. Saratani ya Mlango wa Kizazi(Cervical cancer)
2. Ugonjwa wa Kipindu pindu(Cholera)
3.Tatizo la UVIKO 19(COVID-19)
4. Tatizo la Diphtheria
5. Ugonjwa wa Ebola
6. Ugonjwa wa Homa ya Ini yaani Hepatitis B
7. Kirusi cha Human papilloma Virus(HPV)
8. Kirusi cha Influenza
9. Tatizo la Japanese encephalitis
10. Ugonjwa wa Malaria
11. Ugonjwa wa Surua,Measles
12. Ugonjwa wa Kupooza maarufu kama POLIO
13. Tatizo la Meningitis,Mumps,Pertussis,Rabies n.k
14. Ugonjwa wa kuharisha unaosababishwa na Rotavirus
15. Tatizo la homa ya manjano(yellow fever)
16. Tatizo la Pepopunda maarufu kama Tetanus,Rubella,kifaduro n.k