News
UGONJWA WA SHINIKIZO KUBWA LA DAMU
UGONJWA WA SHINIKIZO KUBWA LA DAMU
Ugonjwa wa shinikizo kubwa la damu – tatizo la kiafya linalotakiwa kuchukuliwa umakini wa juu.
Ugonjwa huu huwa na athari kwenye;
– moyo
– figo
– ubongo n.k
Fuata ushauri wa Daktari wako ikiwemo;
• kuzingatia lishe,
• dawa,
• mazoezi
• Na mitindo bora ya maisha.
Epuka matumizi ya pombe
Epuka matumizi ya Sigara
Epuka kula vyakula vya mufuta sana,
Epuka chumvi nyingi na sukari kwenye vyakula
Punguza uzito mkubwa au Unene
Fanya mazoezi mbali mbali ya mwili N.k