Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

BARAFU NI NZURI KUTULIZA MAUMIVU YA PAPO KWA PAPO

BARAFU+MAUMIVU

• • • • • •

Barafu ni nzuri kwa maumivu ya papo hapo yanayotokea mwilini kuliko maji ya moto. Huongeza usambazwaji wa damu,hupunguza maumivu,uvimbe,maambukizi  pamoja na kujivuta (kukakamaa/kukaza) kwa misuli ya mwili.Ni nzuri sana kutumika baada ya mazoezi au kazi yoyote inayoweza kusababisha maumivu ya mwili.

Maji ya moto hufaa kwa maumivu yaliyodumu kwa muda mrefu. Anza na barafu,kama maumivu yako yanaendelea bila kukoma tumia maji ya moto!

Via sainiyaafya 


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!





Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.