Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

DALILI ZA MAAMBUKIZI KATIKA MFUMO WA MKOJO(UTI)

UTI

• • • • • •

Dalili za maambukizi ya mfumo wa mkojo ni zipi?

Dalili hutofautiana kulingana na ukali wa maambukizi,umri na sehemu iliyoathiri..


Dalili zinazojitokeza mara nyingi pakiwa na maambukizi (UTI):


?Uchungu au kuwashwa unapokojoa.


?Kuhisi kukojoa mara nyingi.


?Homa na uchovu .


?Mkojo wenye harufu mbaya na si safi (cloudy).


Dalili zinazotokana na maambukizi ya kibofu


?Maumivu katika upande wa chini wa tumbo.


?Kukojoa mkojo kidogo , wenye maumivu na mara nyingi.


?Dalili za homa kidogo. Bila maumivu ya mbavu.


?Damu kwenye mkojo.


Dalili zinazotokana na maambukizi ya upande wa juu wa njia ya mkojo


?Maumivu ya upande wa juu wa mgongo na mbavu.


?Kuwa na homa na kuhisi kibaridi. Kichefuchefu, kutapika, uchovu na kujihisi mgonjwa kwa ujumla.


?Kuchanganyikiwa kwa wazee.


Maambukizi haya ni hatari sana yasipotibiwa vyema na haraka. Aidha yanaweza hata kuhatarisha maisha.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.