Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAIDA YA MAZOEZI KWAKO

MAZOEZI

• • • • • •

.

FAIDA YA MAZOEZI


Mazoezi ya mwili husaidia kurekebisha shinikizo la damu [blood pressure]


Mazoezi ya mwili huruhusu damu nyingi zaidi kufika sehemu zote za mwili na kufanya  mwili mzima kuwa na joto.


Mazoezi ya mwili uweza kupunguza mfadhaiko wa mwili na moyo, na kukufanya uweze kujisikia vizuri  zaidi katika maisha yako.


Mazoezi ya mwili ni tiba bora kwa kuondoa wasiwasi na msongo wa mawazo.


Mazoezi ya mwili hufanya akili kuchangamka na kuongeza uwezo wa kufikili na akili.


Mazoezi ya mwili husaidia kurutubisha kinga za mwili na kufanya kinga kuwa imara kupambana na magonjwa



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.