Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KANSA YA INI,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE

  KANSA YA INI

………

KANSA YA INI,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE


Katika mwili wa Binadamu kuna aina nyingi za Kansa Ikiwemo hii ya ini ambayo tunaizungumzia hivi Leo. Kansa hizo ni pamoja na;


  1. Kansa ya Damu
  2. Kansa ya Ngozi
  3. Kansa ya Mapafu
  4. Kansa ya Koo
  5. Kansa ya utumbo
  6. Kansa ya shingo ya Kizazi
  7. Kansa ya matiti
  8. Kansa ya kizazi
  9. Kansa ya Ini
  10. Kansa ya Ubongo
  11. N.K

Hivi leo tutazungumzia kuhusu aina hii ya kansa ya ini,Je dalili zake ni zipi? na matibabu yake ni yapi?


Kama lilivyo neno lenyewe,Kansa hii hutokea kwenye ini, na endapo itatokea Mgonjwa atapata Dalili zifuatazo;

  1. Mgonjwa kuanza kutoa Damu puani
  2. Mgonjwa kujisaidia kinyesi chenye rangi nyeusi
  3. Mgonjwa kukojoa Mkojo wenye rangi nyeusi
  4. Mgonjwa kuanza kupata maumivu ya viungo mbali mbali ikiwemo na mabega
  5. Mgonjwa kushindwa kushiriki vizuri tendo la Ndoa
  6. Mgonjwa kuanza taratibu kupoteza kumbukumbu zake
  7. Mgonjwa kuingiwa na hali ya kukosa usingizi mara kwa mara
  8. Mapigo ya moyo ya mgonjwa kwenda mbio
  9. Kupatwa na hali ya kubadilika rangi kwenye macho pamoja na Ngozi ya mwili kuwa MANJANO kitaalam hujulikana kama JAUNDICE
  10. Kupatwa na maumivu makali ya Tumbo juu kidogo ya kitovu
  11. Mgonjwa kukosa hamu ya kula kabsa
  12. Mwili kuchoka kupita kiasi pamoja na kuhisi kichefuchefu

MATIBABU

Kama zilivyo kansa zingine,urahisi wa matibabu ni pale ambapo ugonjwa huu umegundulika mapema kabla ya kufikia stage mbaya,Kwani ikifikia stage mbaya hata kutibu pia ni vigumu. Hivo pale ukijihisi tofauti pamoja na kuona dalili nilizozitaja hapo juu wahi hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584





Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.