Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAUMIVU YA KORODANI

KORODANI

• • • • • •

Maumivu ya korodani  ni tatizo linalowasumbua sana wanaume wengi, kawaida maumivu ya korodani hutokea katika korodani moja au zote mbili endapo zitaumizwa kwa kuumia au maambukizi.


Maumivu hayo husababishwa na mambo mbalimbali yakiwemo 

~ maambukizi  ya bacteria au magonjwa ya zinaa

~  kutokunywa maji mengi

~  misuguano inayoathiri moja kwa moja ngozi na mirija ya ndani ya korodani ambayo inaweza kusababishwa na uvaaji wa nguo za ndani zinazobana sana

~ kujikusanya kwa maji na uchafu

~  ngiri

~ Saratani ya korodani au sababu za kupata ajali.


#afya 

#jaliafyayako



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.