Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MATIBABU YA BRUSELA.

MATIBABU YA BRUSELA

➡️ Brusela

Matibabu ya brusela yapo na yanategemea na stage au hali ya ugonjwa umefikia wapi. Matibabu ya brusela ni lazima utumie dawa mbili za kumeza kila siku kwa muda usiopungua wiki 6 au zaidi. Watu Wa rika zote,wajawazito wanatibiwa kwa mfumo huo huo. Cha msingi kama unapata dalili dalili hizo basi muone Dr akupime na kama una brusela basi utatibiwa..

.

.

 NAMNA YA KUJIKINGA NA BRUSELA

Mpaka sasa hakuna chanjo ya brusela ilopatikana na kwa maana hiyo ni lazima kujilinda kwa njia zingine mpaka pale chanjo itakapopatikana.. .  1) Epuka kunywa maziwa mabichi; maziwa yanatakiwa yachemshwe kikamilifu


2)Epuka kula nyama ambazo hazijaiva vizuri, nyama ni lazima iwe imechemshwa kwa muda Wa dakika 20-30 kabla ya kuitumia,nyama choma na mishikaki hua haiivagi vizuri kwa hiyo tuweni makini nazo


3) Epuka migusano ya majimaji ya wanyama tajwa na wewe, majimaji kama mate,uharo,mkojo,kondo la nyuma,kamasi nk.


4) Kuwapatia chanjo wanyama wote wafungwao au wanaokua karibu na binadamu dhidi ya chanjo ya brusela


5) Kwa wale wachinjaji na wauza nyama mabuchani wazingatie utaratibu Wa kazi zao ili kujilinda na migusano ya damu au majimaji yeyote kutoka kwa mnyama husika.


6) kwa zile jamii zilizo kwenye hatari ni vyema mkawa na desturi ya kupima homa ya brusela kwani unaeza kuambukuzwa brusela mwez Wa kwanxa lakini ukaja kuona dalili mwezi Wa 12

.

MWISHO

.

.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.