Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UKIWA NA TUMBO KUBWA,SIO LAZIMA UJIFUNGUE MTOTO MKUBWA.

UKIWA NA TUMBO KUBWA,SIO LAZIMA UJIFUNGUE MTOTO MKUBWA.


Ukiachana na Ukubwa wa mtoto,kuna VITU VINGINE yaan visababishi Vingine vinavyoweza fanya Mama mjamzito AWE na Tumbo KUBWA.


Sababu kama Hizi;


1.Mama k kuwa mnene sana yaan anakuwa na Mafuta mengi Sana kwenye Tumbo lake,kiasi ukubwa wa tumbo watazamaji twaweza ona ni mimba,ila Wataalamu sisi,drs.nurses tukipima lile tumbo kuona ukubwa wa mtoto unakuta mdogo tu,ila Tumbo la Mtu Ni kubwa kwa Muonekano.


2.Mama k kuwa na tumbo lililojaa mfano Ma gesi…..kuna mama k muda wote matumbo yanakuwa na ma gesi,so tumbo lijumla LINAJAA,lakin unakuta Mtoto ni Mdogo Tu.


3.lakin PIA unaweza kuwa na MAJI MENGI yaan maji ambamo mtoto anaishi,AMNIOTIC FLUID inaweza kuwa Nyingi sana ,tunaita POLYHYDRAMNIOS,inatokea wanawake wengine yanakuwa MENGI,lakin unakuta mtoto anakilo hata 2???,ila maji kama yote.


4.Unaweza kuwa una mapacha pia,Hapa tumbo huwa  ni Kubwa sanaaa kuliko kawaida,unakuta mimba ya miezi minne ila KAMA una Mimba ya miezi 8??


5.Lakin pia,NDIO,mtoto anaweza kuwa MKUBWA kilo kuanzia 3.5 mpaka 5 huko na zaid  akafanya tumbo liwe kubwa sana.


Cha muhimu jua kuwa Sababu za Mama k kuwa na tumbo KUBWA ni Nyingi,sio laaazma mtoto awe Mkubwa.

Cc:Uzazipoint #afyaclass


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Karibu Sana..!!!




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass