Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Uume wangu umelegea baada ya Kutumia Vumbi la Congo

Ni kweli kuna Madhara ya kutumia vitu kama Vumbi la Kongo?

Madhara ya kutumia vumbi la kongo kwa wanaume ni pamoja na;

– Mwanaume kushindwa kushiriki tendo la ndoa kama hajatumia dawa hii ya vumbi la kongo

– Kuathiri mishipa ya uume na kusababisha  uume wa mwanaume kushindwa kusimama moja kwa moja kutokana na athari za kutiwa ganzi, hivo ikabaki kazi moja tu ya kukoja na sio kufanya mapenzi

– Uume kusinyaa kabsa na kulegea hata wakati wa kushiriki tendo la ndoa n.k

Soma Zaidi hapa Maelekzo.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.