Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

KANSA YA DAMU,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 KANSA YA DAMU

••••••••••••


KANSA YA DAMU,DALILI ZAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE


Katika mwili wa Binadamu kuna aina nyingi za Kansa Ikiwemo hii ya Damu ambayo tunaizungumzia hivi Leo. Kansa hizo ni pamoja na;


  1. Kansa ya Damu
  2. Kansa ya Ngozi
  3. Kansa ya Mapafu
  4. Kansa ya Koo
  5. Kansa ya utumbo
  6. Kansa ya shingo ya Kizazi
  7. Kansa ya matiti
  8. Kansa ya kizazi
  9. Kansa ya Ini
  10. Kansa ya Ubongo
  11. N.K

Hivi leo tutazungumzia kuhusu aina hii ya kansa ya Damu,Je dalili zake ni zipi? na matibabu yake ni yapi?


Kama lilivyo neno lenyewe,Kansa hii hutokea kwenye Damu, na endapo itatokea Mgonjwa atapata Dalili zifuatazo;

  • Kuanza kubadilika rangi ya Ngozi na kuwa Nyekundu sana
  • Kupatwa na maumivu mbalimbali yakiwemo ya Mifupa pamoja,joint pamoja na Viungo mbalimbali vya Mwili
  • Mgonjwa kutokwa na jasho sana wakati wa Usku
  • Kupatwa na matatizo ya tumbo mara kwa mara pamoja na kushambuliwa na magonjwa mengine kwa urahisi zaidi
  • Mwili kuchoka kupita kiasi
  • Kupatwa na homa za mara kwa mara

MATIBABU

Kama zilivyo kansa zingine,urahisi wa matibabu ni pale ambapo ugonjwa huu umegundulika mapema kabla ya kufikia stage mbaya,Kwani ikifikia stage mbaya hata kutibu pia ni vigumu. Hivo pale ukijihisi tofauti pamoja na kuona dalili nilizozitaja hapo juu wahi hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584







Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.