Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

JINSI YA KUJIKINGA NA HARUFU MBAYA MDOMONI PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 HARUFU MBAYA MDOMONI

•••••••

JINSI YA KUJIKINGA NA HARUFU MBAYA MDOMONI PAMOJA NA MATIBABU YAKE


Harufu mbaya mdomoni yaweza kuwa tatizo/ugonjwa au kutokana na kinywa kutokufanyiwa usafi vizuri.


Je unawezaje kujikinga na Harufu Mbaya Mdomoni?


• Hakikisha unasafisha kinywa mara tu baada ya chakula au asubuhi pia ukiamka asubuhi, isipite siku hujasafisha kinywa chako


• Hakikisha unatumia dawa za meno kila unaposafisha kinywa chako, hizi husaidia kung’arisha meno lakini pia kuuwa wadudu wanaoweza kushambulia meno yako


• Hakikisha unakunywa maji ya kutosha,hii pia husaidia kwa asilimia kubwa kuondoa harufu mbaya mdomoni.


Kama Tatizo bado lipo nenda hospital kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu

.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.