Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

FAHAMU KUHUSU KIFAA CHA PACEMAKER NA KAZI YAKE KWENYE MOYO WA BINADAMU

 PACEMAKER

• • • • •

FAHAMU KUHUSU KIFAA CHA PACEMAKER NA KAZI YAKE KWENYE MOYO WA BINADAMU


pacemaker ni kifaa kidogo ambacho huweka chini ya ngozi kifuani kwa lengo la kudhibithi mapigo ya Moyo.


Na kifaa hiki hutumika kwa mtu ambaye ana tatizo la mapigo ya moyo kuwa chini sana kutokana na sababu mbali mbali kama vile;


– Baada ya mgonjwa kufanyiwa upasuaji wa moyo


– Kutumia dawa kupita kiwango au Ku Overdose


– Mtu aliyepata shambulio la moyo au Heart attack

n.k


Kwa mtu mzima ambaye katulia namaanisha yupo kwenye hali ya kawaida,hakimbii,hajafanya mazoezi yoyote,hajatembea sana n.k, Mapagio yake ya moyo huwa kati ya 60-100 beats/Min


HATARI AMBAYO HUWEZA KUTOKEA BAADA YA KUWEKEWA KIFAA CHA PACEMAKER


Uwekaji wa kifaa cha Pacemaker huhusisha Upasuaji au operation. Upasuaji huu huweza kuendana na vitu kama vile;


– Mgonjwa kupata maambukizi au Infection wakati wa upasuaji au baada ya upasuaji


– Allergy reaction kwa mgonjwa


– Kuvimba


– Kupata shida kwenye mapafu

n.k


KUMBUKA, sio kila mgonjwa lazima apate shida hizi, hayo madhara huweza kutokea endapo hakuna umakini katika uwekaji wa kifaa hiki


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.