DALILI ZA HATARI KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA
MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA
• • • • •
DALILI ZA HATARI KWA MAMA BAADA YA KUJIFUNGUA
Watu wengi wanajua kuna dalili za hatari kwa mama akiwa mjamzito tu,lakini baada ya mama huyu kujifungua salama kila kitu kipo sawa hakuna shida tena. Ukweli ni kwamba hata baada ya mama kujifungua kunaweza kukawa na dalili za hatari ambazo sio salama kwa afya ya mama baada ya kujifungua.
8. Mama baada ya kujifungua kupata maumivu makali ya tumbo juu kidogo ya kitovu au kwa kitaalam hujulikana kama Epigastric pain
9. Mama baada ya kujifungua kuanza kuhisi maumivu ya mgongo,kiuno pamoja na mkojo kuchoma wakati wa kukojoa
10. Mama baada ya kujifungua kuwa na hali kama ya kutetemeshwa mwili.
@ Kwa ushauri zaidi,elimu au tiba tuwasiliane kwa namba +255758286584
UNAWEZA KUTAZAMA VIDEO HII JAPO KWA UFUPI;