Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANZO CHA TATIZO LA MWANAUME KUCHELEWA KUFIKA KILELENI(wakati wa tendo la ndoa)

 WANAUME

• • • • •

CHANZO CHA TATIZO LA MWANAUME KUCHELEWA KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO LA NDOA

Tatizo hili la mwanaume kuchelewa kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa huweza kutokea gafla na kuisha lenyewe au kuwa ni tatizo la muda mrefu.

je nini chanzo kikubwa cha tatizo hili?

CHANZO CHA TATIZO LA MWANAUME KUCHELEWA KUFIKA KILELENI WAKATI WA TENDO LA NDOA

Zipo sababu mbali mbali ambazo huweza kuchangia mwanaume kuchelewa kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa kama vile;

– Mwanaume kuwa na msongo wa mawazo wakati anashiriki tendo la ndoa

– Mwanaume kutokuwa na hamu kabsa ya kufanya mapenzi

– Mwanaume kuwa na tatizo linalosababisha mbegu za kiume kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala kutoka nje kwa kitaalam hujulikana kama Retrograde ejaculation

– Tatizo la  mvurugiko wa vichocheo vyake vya mwilini hasa hasa kichocheo aina ya Testosterone.

– Mwanaume kuwa na hofu kuu pamoja na wasiwasi wakati anashiriki tendo la ndoa

– Mwanaume kusumbuliwa na magonjwa ya akili

– Matumizi ya baadhi ya dawa

– Matumizi ya pombe kwa mwanaume kupita kiasi

– Mwanaume kupata ajali na kuumia sehumu za siri

– Kuharibiwa kwa mfumo wa fahamu(nerves) ambazo huhusika moja kwa moja na mwanaume kufika kileleni

– Mwanaume kuwahi kufanyiwa upasuaji sehemu za siri

– Mwanaume kuzaliwa na madhaifu kwenye mfumo wake wa uzazi

– Mwanaume kuwa na maambukizi sugu kwenye mfumo mzima wa mkojo yaani UTI

MADHARA YA TATIZO HILI
 
– mwanaume kupata matatizo ya uzazi ikiwa ni pamoja na uwezo wake wa kumpa mwanamke mimba kupungua
 
– Mwanaume kuwa na hofu sana kila anapotaka kufanya mapenzi
 
– Mwanaume kukosa hamu ya mapenzi
 
– Kupata maumivu mara kwa mara sehemu za siri
 
– Ugomvi wa kimahusiano
N.K

MATIBABU YA TATIZO HILI

zipo njia mbali mbali ambazo hutumika kumsaidia mwanaume mwenye shida hii kulingana na chanzo cha tatizo lake  ikiwa ni pamoja na matumizi ya dawa mbali mbali, kuacha pombe, kuacha baadhi ya dawa pamoja na matibabu ya Psychotherapy.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.