Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MAUMIVU YA KICHWA KWA WANAWAKE WAKATI WA KUNYONYESHA(sababu na Suluhisho)

UNYONYESHAJI

• • • • • •

MAUMIVU YA KICHWA KWA WANAWAKE WAKATI WA KUNYONYESHA(sababu)


Maumivu ya kichwa kwa wanawake wanaonyonyesha huchangiwa na sababu mbali mbali kama vile;


1. Maziwa kuanza kutoka huweza kusababisha maumivu ya kichwa


2. Kichocheo cha kuzalisha maziwa


3. Matiti kujaa sana


4. Uchovu mwingi na kutokulala 


5. Kutokunywa maji ya kutosha


6. Lishe duni


SULUHISHO LA TATIZO HILI LA MAUMIVU YA KICHWA WAKATI WA KUNYONYESHA


1. Kupumzika vyakutosha


2. Kufanyiwa massage


3. Dawa za maumivu


4. Kuoga maji ya uvuguvugu


5. Kunywa vimiminika vya kutosha ikiwemo maji ya kutosha


6. Zingatia lishe bora wakati wa kunyonyesha na hata baada ya kunyonyesha

(? Credits: @jjbreastfeedingstore )




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.