Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

MFUMO WA MAISHA UNAOMALIZA NGUVU ZA KIUME

 NGUVU ZA KIUME

• • • • •

MFUMO WA MAISHA UNAOMALIZA NGUVU ZA KIUME


Moja ya vitu muhimu vya kuzingatia kwa ajili ya afya ya uzazi Kwa mwanaume na mwanamke ni pamoja na mtindo wa maisha tunaoishi au Lifestyle, ambapo hujumuisha vitu vingi sana kama vile; vyakula tunavyokula, kazi tunazofanya n.k


Mfumo wako wa maisha huweza kuleta matokeo mabaya au mazuri kwenye afya yako ya mwili pamoja na afya ya uzazi.


MFUMO WA MAISHA UNAOMALIZA NGUVU ZA KIUME NI PAMOJA NA;


– Ulevi wa pombe kupita kiasi, mtu ambaye ni mlevi hujiweka katika hatari ya kupata madhara mengi kama vile; magonjwa ya moyo,presha,kisukari, uzito kupita kiasi,


bila kusahau athari katika mfumo wa uzazi ikiwa ni pamoja na kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume,uzalishaji wa mbegu za kiume ambazo hazina ubora na kwa kiwango kidogo sana tatizo ambalo hujulikana kama low sperm count.


– Kuwa mtu wa kuishi na msongo wa mawazo muda wote, tafiti zinaonyesha miongoni mwa waathirika wakubwa wa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ni wale ambao wana stress nyingi au msongo wa mawazo hali ambayo huwapelekea kushindwa kufanya tendo la ndoa vizuri.


– Kuishi kwa hofu na wasiwasi mkubwa, tafiti zinaonyesha mbali na madhara ya kushuka kwa kinga ya mwili ambayo mtu huweza kuyapata kutokana na kuwa na hofu sana, athari pia huweza kuwepo hata katika uwezo wake wa kushiriki tendo la ndoa.


Hivo hali hii huweza kupunguza nguvu za kiume


– Matumizi ya baadhi ya dawa, kuna baadhi ya dawa ambazo zina athari katika mfumo wa uzazi wa mwanaume ikiwa ni pamoja na kupunguza nguvu zake za kiume


– Kula vyakula ambavyo havina virutubisho muhimu sana mwilini kama vile Vitamin mbali mbali pamoja na Proteins


– Kuwa mwanaume ambaye anapiga puchu au punyeto mara kwa mara ndani ya kipindi kirefu huweza kuleta athari pia katika mfumo wako wa uzazi ikiwa ni pamoja na kupungua kwa nguvu za kiume.


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.




Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.