Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

ugonjwa wa donda koo,chanzo,dalili na Tiba

UGONJWA WA DONDAKOO(chanzo,dalili na tiba yake)

ugonjwa wa donda koo

Ugonjwa wa donda koo ni ugonjwa ambao humpata mtu baada ya kushambuliwa na bacteria ambao kwa kitaalam hujulikana kama Corynebacterium Diphtheria.

Mtu huweza kupata bacteria hawa wanaosababisha ugonjwa wa donda koo kwa njia mbali mbali kama vile;

  • Kugusa kitu chochote ambacho kimeshikwa na mgonjwa wa donda koo au
  • kwa njia ya kugusana naye moja kwa moja.

Dalili za ugonjwa wa donda koo

DALILI ZA UGONJWA WA DONDA KOO NI PAMOJA NA;

– Joto la mwili la mgonjwa kupanda juu kuliko kawaida au mgonjwa kuwa na homa

– Mgonjwa kupata tatizo la kutokuona vizuri

– Ngozi ya mwili kwa mgonjwa kubadilika rangi na kuwa na rangi mithili ya rangi la blue,

Hii pia ni mojawapo ya dalili za ugonjwa wa donda koo

– Kuhisi baridi mwilini kuliko kawaida

– Kuwa na shida ya kuvimba na kuumwa kwa tezi maeneo ya shingoni

– Mgonjwa kupatwa na vidonda maeneo ya kooni ndyo maana ya jina la Dondakoo likatokea hapo n.k

Hizi ni baadhi tu ya dalili za ugonjwa wa donda koo

WATU WALIOPO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA WA DONDAKOO

1. Watu wanaotumia muda mwingi kukaa sehemu ambazo kuna mikusanyiko mikubwa ya watu kama vile; sokoni,stend N.K

2. Watu ambao wanakaa kwenye mazingira machafu sana

3. Watu ambao wanaumwa magonjwa ambayo husababisha kinga ya mwili kuwa chini sana, Mfano;

  • Wagonjwa wa TB,
  • Ukimwi N.K

4. Watu ambayo hawakupata chanjo maalumu ya kuzuia ugonjwa huu wa Dondakoo inayojulikana kwa jina la DTP

Hilo ni kundi la baadhi ya watu ambao wapo kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa donda koo.

MATIBABU YA UGONJWA WA DONDAKOO

– Matibabu ya ugonjwa dondakoo huhusisha matumizi ya dawa za aina mbali mbali kama vile; Penicillin, Erythromycin N.K

Hivo ni muhimu kwenda hosptal au kuongea na wataalam wa afya ili kupata tiba sahihi pamoja na dose sahihi kulingana na tatizo lako.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

FAQs: Maswali ambayo huulizwa mara kwa mara

Je, ugonjwa wa donda koo unasababishwa na nini?

Ugonjwa wa donda koo ni ugonjwa ambao humpata mtu baada ya kushambuliwa na bacteria ambao kwa kitaalam hujulikana kama Corynebacterium Diphtheria.

Je, ni watu gani wapo kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa donda koo?

WATU WALIOPO KWENYE HATARI YA KUPATA UGONJWA WA DONDAKOO

1. Watu wanaotumia muda mwingi kukaa sehemu ambazo kuna mikusanyiko mikubwa ya watu kama vile; sokoni,stend N.K

2. Watu ambao wanakaa kwenye mazingira machafu sana

3. Watu ambao wanaumwa magonjwa ambayo husababisha kinga ya mwili kuwa chini sana, Mfano;

  • Wagonjwa wa TB,
  • Ukimwi N.K

4. Watu ambayo hawakupata chanjo maalumu ya kuzuia ugonjwa huu wa Dondakoo inayojulikana kwa jina la DTP

Hilo ni kundi la baadhi ya watu ambao wapo kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa wa donda koo.

Hitimisho

Ugonjwa wa donda koo ni ugonjwa ambao humpata mtu baada ya kushambuliwa na bacteria ambao kwa kitaalam hujulikana kama Corynebacterium Diphtheria.

Ugonjwa wa donda koo huambatana na dalili mbali mbali ikiwemo;

– Joto la mwili la mgonjwa kupanda juu kuliko kawaida au mgonjwa kuwa na homa

– Mgonjwa kupata tatizo la kutokuona vizuri

– Ngozi ya mwili kwa mgonjwa kubadilika rangi na kuwa na rangi mithili ya rangi la blue,

Hii pia ni mojawapo ya dalili za ugonjwa wa donda koo

– Kuhisi baridi mwilini kuliko kawaida

– Kuwa na shida ya kuvimba na kuumwa kwa tezi maeneo ya shingoni

– Mgonjwa kupatwa na vidonda maeneo ya kooni ndyo maana ya jina la Dondakoo likatokea hapo n.k

Hizi ni baadhi tu ya dalili za ugonjwa wa donda koo

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.