Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

UMRI WA MWANAUME KUMPA MWANAMKE MIMBA

UZAZI NA UMRI

• • • • •
UMRI WA MWANAUME KUMPA MWANAMKE MIMBA


Japo watu wengi wanajua mwanaume yeye kwa asilimia kubwa hana shida, kuwa na umri mkubwa sio tatizo sana kwa maswala ya uzazi pamoja na kumpa mwanamke mimba.

Lakini ukweli ni kwamba hata kwa mwanaume, kadri umri unavyokuwa mkubwa ndipo uwezo wa kumpa mwanamke mimba hupungua pamoja na matatizo mengine ya uzazi kuongezeka.


UMRI WA MWANAUME KUMPA MWANAMKE MIMBA


– Uwezo wa mwanaume kumpa mwanamke mimba huanza kupungua kwa mwanaume mwenye umri wa miaka 40, 45 na kuendelea,


Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume mwenye umri wa miaka 40, 45 Na kuendelea uwezo na ubora wa mbegu za kiume huanza kupungua, na hata akimpa mwanamke mimba,


 kuna hatari ya mimba kutoka zenyewe, kuzaa mtoto mfu, au kuzaa mtoto na kufa baada ya kuzaliwa pamoja na kuzaa watoto ambao wana uwezo mdogo wa kiakili, matatizo ya ubongo pamoja na magonjwa mbali mbali ya akili kama vile Schizophrenia n.k. 


Japo athari za umri katika maswala ya uzazi pamoja na ujauzito humuathiri mwanamke moja kwa moja na matokeo yake ni ya haraka zaidi kuliko kwa mwanaume



KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.