Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

JE NI KWELI POMBE YA GONGO NI DAWA YA TETEKUWANGA?

 TETEKUWANGA

• • • • •

JE NI KWELI POMBE YA GONGO NI DAWA YA TETEKUWANGA?


Tetekuwanga ni ugonjwa ambao huhusisha kuota vipele vyenye maji maji maeneo mbali mbali ya mwili na ugonjwa huu husababishwa na Virusi wanaojulikana kwa jina la Varicella zoster.


Ugonjwa huu huwapata sana watoto kuliko watu wazima.


JE NI KWELI POMBE YA GONGO NI DAWA YA TETEKUWANGA?


– Hizi ni imani potofu na wala ugonjwa wa tetekuwanga hautibiwi kwa mtu kunywa pombe aina ya gongo



MATIBABU ya ugonjwa wa tetekuwanga, huhusisha kudhibiti dalili mbali mbali ambazo huletwa na kirusi hiki cha Varicella Zoster kama vile joto la mwili kuwa juu au homa n.k


Hivo mgonjwa atapewa dawa mbali mbali kama vile amoxyclin, Acyclovir, Paracetum n.k


KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.



Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.