Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Maelekezo kwa Mabasi ya Watoto wa shule juu ya Tahadhari Ugonjwa wa CORONA(Video)

 VIDEO

• • • • •

Maelekezo kwa Mabasi ya Watoto wa shule juu ya Tahadhari Ugonjwa wa CORONA(Video)

CORONA

• • • • •

ZINGATIA HAYA ILI KUENDELEA KUJIKINGA NA JANGA LA CORONA(COVID-19)

Endelea kuzingatia mambo yafuatayo ili kuendelea kujikinga na Janga la Corona;

✓ Epuka kukaa sehemu za mikusanyiko isio ya lazima

✓ Hakikisha unanawa mikono na maji safi tiririka pamoja na sabuni

✓ Tumia sanitizer

✓ Hakikisha unavaa masks maarufu kama Barakoa

✓ Nenda hospital ukihisi dalili kama vile;

– Mafua makali  ambayo huambatana na maumivu makali ya kichwa

– Kikohozi kikavu

– Joto la mwili kuwa juu au kuwa na homa

– Kubanwa mbavu sana wakati wa kupumua

– Kushindwa kupumua

N.k

 

• Soma: Ugonjwa wa Corona,chanzo,Dalili pamoja na Jinsi ya Kujikinga

VIDEO+: SORRY THIS VIDEO IS UNAVAILABLE FOR NOW.!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

One Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.