Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

HATARI YA WATOTO KUMEZA SHILINGI

HATARI YA WATOTO KUMEZA SHILINGI

Wazazi wengi au walezi wamekuwa wakiwaacha watoto wadogo kuchezea hela za sarafu au shilingi,

bila kujua kwamba ni hatari sana kwa watoto wadogo hasa pale wanapozimeza

watoto wengi wamekuwa wakilazwa mahospitalini,

na hata wengine kufikia hatua ya kufanyiwa upasuaji,

kwa sababu hii ya kumeza shilingi

Kuwa muangalifu na mtoto wako,msiwape watoto wadogo hela za sarafu au shilingi ili wachezee,

Wapeni vitu vingine kama midoli ya watoto,mipira ya watoto,magari,ndege za watoto n.k

Sio sarafu/shiling,visu,sindano,nyembe,au vitu vyovyote vya ncha kali

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.