KUTUMIA TOILET PAPER NA KUPATA UTI KWA WANAWAKE
KUTUMIA TOILET PAPER NA KUPATA UTI KWA WANAWAKE
Sio kila Wipes ni nzuri kwa ajili ya kujisafisha ukiwa chooni,tumia ambazo zimetengenezwa kwa lengo hili,
Baadhi ya wanawake hupatwa na UTI za mara kwa mara,
na wengine hadi kufikia hatua ya kuwa na UTI Sugu ambazo haziishi, kumbe baadhi ya vitu tunavyotumia huweza kuwa chanzo cha UTI vile vile.
Matumizi ya baadhi ya Toilet paper huweza kuacha chembechembe za
choo kikubwa pamoja na mabaki ya
karatasi wakati wa kujisafisha na baada ya
kupitisha haja kubwa.
Ni rahisi sana kwa vitu hivi kuingia
kwenye tundu la uke baada ya mwili kupata
joto kubwa na unyevu.
Unashauriwa kutumia maji au wipes
mbichi. Inasaidia kujikinga na UTI.
Ukishindwa kabsa bora uwe unatumia maji tu kuliko Toilet Paper,
Hii itakusaidia kukukinga na magonjwa mbali mbali ikiwemo UTI.
KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.