Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

FAIDA YA KULALA UBAVU

FAIDA YA KULALA UBAVU

Bila shaka unaweza kuwa miongoni mwa watu ambao wanasikia sana kuhusu

Swala la Mama mjamzito kulala ubavu hasa ubavu wake wa kushoto,

Wakina mama wengi wajawazito wamekuwa wakisisitizwa kulalia ubavu,

Je unajua kwamba faida za kulala ubavu sio kwa mama mjamzito peke yake?

FAIDA ZA KULALA UBAVU

Hizi hapa ni baadhi ya Faida za Kulala Ubavu kwa mtu yoyote yule;

• Kulala ubavu kusaidia kuzuia tatizo la mtu kukoroma akiwa usingizini

• Kulala ubavu husaidia sana kuzuia maumivu ya Chembe ya Moyo

• Pia tafiti zinaonyesha kwamba,kulala ubavu huimarisha afya ya ubongo.

Fanya hivi kwa ajili ya afya yako…!!!

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.