Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

KUTOKWA NA JASHO NA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA

KUTOKWA NA JASHO NA KUNYWA MAJI YA KUTOSHA

Kutoka jasho ni moja wapo ya njia ambazo miili yetu hupoteza maji kila siku.

Katika msimu wa upepo kama huu ni rahisi sana usigundue kuwa umetoka jasho hata ukifanya kazi nzito.

Hivyo kumbuka kunywa maji ya kutosha.
#healthchallengetz

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.