Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

VIPIMO VYA MAGONJWA

VIPIMO VYA MAGONJWA

Kuwa na desturi ya kufanya vipimo vya magonjwa mbali mbali ni msaada na kinga kubwa,

hii itakusaidia kujikinga na magonjwa kabla ya kutokea,

Pamoja na kutibu magonjwa baada ya kugundulika mapema,

kumbuka magonjwa mengi ukichelewa kuyagundua na kuanza tiba,

ndipo huleta madhara makubwa zaidi,na wakati mwingine hata kusababisha vifo.

Umuhimu wa kufanya vipimo; Utakusaidia kugundua tatizo kwa haraka pamoja na kupata tiba sahihi inayoendana na tatizo lako,

Hivo matibabu sahihi hutegemea kwa asilimia 100% vipimo sahihi.

Tujenge desturi ya kufanya vipimo vya magonjwa mara kwa mara,ili kupata tiba sahihi

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.