Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

CHANJO YA POLIO(UGONJWA WA POLIO)

CHANJO YA POLIO(UGONJWA WA POLIO)

Hakikisha mtoto wako anapata chanjo hii ya POLIO,

Chanjo hii ni muhimu sana ili kumkinga mtoto wako na Ugonjwa wa Kupooza maarufu kama POLIO

KUMBUKA; madhara ya ugonjwa wa Polio ni makubwa, Ugonjwa huu wa POLIO unaweza kusababisha Ulemavu wa kudumu kwa mtu na vifo pia.

Kinga ni bora kuliko tiba, Hakikisha mtoto wako anapata chanjo hii ya kuzuia ugonjwa wa Polio.

Chanjo ya Polio hutolewa Kwa njia ya MATONE MDOMONI,

Ni wajibu wako na jukumu lako kuhakikisha afya ya mtoto wako inabaki kuwa Salama.

Na sasa kuna kampeni ya kitaifa kwa ajili ya Utoaji wa chanjo hii kwa watoto wote wenye umri wa chini ya Miaka 5.

• Hakikisha mtoto wako anapata chanjo hii ni muhimu sana kwake

TUWALINDE NA KUWATUNZA WATOTO WETU, AFYA KWANZA

Sponsored by Afyaclass

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.