Ushauri kwa Dawa zinazosababisha ukose Usingizi
Ushauri kwa Dawa zinazosababisha ukose Usingizi,
Baadhi ya dawa unaweza kutumia halafu zikasababisha tatizo la kukosa Usingizi yaani Insomnia,
Dawa hizo zinaweza kuwa kwenye makundi mbali mbali kama vile;
• Dawa za kutibu tatizo la Allergies au mzio
• Dawa za magonjwa ya Moyo
• Dawa za Presha
• Dawa za kutibu matatizo ya tezi la Thyroid
• Dawa za kudhibiti tatizo la depression N.k,
Endapo baada ya kuanza Kutumia Dawa unapata tatizo la kukosa Usingizi ambalo hukuwa nalo huko nyuma,
Ni vizuri zaidi kuongea na wataalam wa afya ili waone namna ya kukubadilishia dawa,
Nakukupa Dawa ambazo zitakufaa zaidi ambazo hazitakusababishia tatizo la Kukosa Usingizi.
#Ushauri