Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Matone mawili madogo yanaweza kuwakinga watoto wetu na Ugonjwa wa Polio

Matone mawili madogo yanaweza kuwakinga watoto wetu na Ugonjwa wa Polio,

Matone mawili madogo yatawakinga watoto wetu walio chini ya umri wa miaka 5 dhidi ya ugonjwa wa polio.

Hakikisha watoto wote walio chini ya miaka 5 wamepata chanjo ya kuzuia Ugonjwa wa polio.

Kumbuka; Ugonjwa wa Polio ni Ugonjwa mbaya sana wa Kupooza ambao huweza kusababisha Ulemavu wa kudumu,

Hakikisha mtoto mara baada ya kuzaliwa na akiwa na umri wa chini ya miaka 5 anapata chanjo zote muhimu,

Ikiwemo chanjo ya kuzuia kifua kikuu maarufu kama BCG, Chanjo ya Polio,

Pamoja na chanjo zingine kama vile; Chanjo ya kuzuia kuharisha(ROTAX),

Chanjo inayomkinga mtoto na magonjwa matano yaani PENTAVALENT Vaccine n.k
#ChanjoKwanza

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.