News
Unywaji wa pombe kupita kiasi hufanya ini kuwa na mafuta
Unywaji wa pombe kupita kiasi hufanya ini kuwa na mafuta na kuruhusu tishu nene, zenye nyuzi nyuzi zijengeke,
Kisha kuzuia mtiririko wa damu kwenye Seli hai ndani ya Ini,
Matokeo yake Seli za ini hazipati kile zinachohitaji ili kuishi.
Kisha Zinakufa, Ini hupata makovu na huacha kufanya kazi pia, na kusababisha ugonjwa wa cirrhosis.
Unywaji wa Pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako