Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
MagonjwaUzazi/Ujauzito

Massage wakati wa UJAUZITO ni tofauti kabsa na massage Zingine

Massage wakati wa UJAUZITO ni tofauti kabsa na massage Zingine

Kwa wale ambao wana Utaratibu wa Kufanyia Miili yao Massage, ni muhimu sana kufahamu hili,

Massage wakati wa UJAUZITO ni tofauti kabsa na massage Zingine,

Katika kipindi cha Ujauzito unatakiwa kuwa Muangalifu sana na vitu vingi ambavyo umezoea kuvifanya,ikiwemo hili la Massage.

Ujauzito hubadilisha kabsa Mtindo wa Maisha kwa Mhusika, kuna vitu vingi vya kuepuka na kuzingatia ili uwe Salama wewe Pamoja na Mtoto aliyetumboni,

KUMBUKA:massage Huweza kupunguza vichocheo vinavyohusika na msongo wa mawazo(stress hormones),na kisha kusaidia Mwili wako kuzalisha oxytocin,

Hii ni faida kwa watu wenye tatizo la msongo wa mawazo pamoja na wasiwasi(depression and anxiety).

Massage wakati wa Ujauzito(prenatal massage) haitakiwi kuhusisha mgandamizo zaidi kama massage zingine,

Hivo lazima utumie presha ndogo sana kadri unavyoweza(Very light Pressure) ili kuepuka kusababisha matatizo.

epuka kufanya Deep tissue massage, na massage hii haitakiwi kuzidi dakika 15 mpaka Saa Moja,

Pia unashauriwa usifanye Massage hii Mpaka Ujauzito ufike angalau zaidi ya Wiki 12.

FAIDA ZA Prenatal massage NI PAMOJA NA;

– Kurekebisha baadhi ya hormones ikiwemo oxytocin na serotonin,

• hali ambayo husaidia kukupunguzia maumivu kama unapata maumivu.

• Mwili kuweza kupumzika vizuri

• Kuondoa tatizo la Kukosa Usingizi(insomnia)

• Kupunguza Msongo wa Mawazo pamoja na Wasiwasi

• Kupunguza Labor Pain n.k

KUMBUKA; Epuka sana Kutumia deep pressure hasa kwenye maeneo kama vile tumboni n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.