Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Tatizo la scalp psoriasis,Chanzo,Dalili na Tiba yake

Tatizo la scalp psoriasis,Chanzo,Dalili na Tiba yake

Scalp psoriasis ni ugonjwa ambao upo kwenye kundi la autoimmune disease,Ugonjwa huu chanzo chake ni mfumo wako wa kinga wenyewe, ambao husababisha seli hai kwenye ngozi yako kuzaliana kwa haraka zaidi,

Hali ambayo hupelekea kutokea kwa eneo la ngozi lenye mabaka kama Unga au MBA kichwani.

Na mara nyingi huweza kutokea kichwani, eneo ambapo nywele zimeanzia kwenye paji la Uso, Nyuma ya shingo, Pamoja na ngozi kuzunguka masikioni,

WATU AMBAO WAPO KWENYE HATARI ZAIDI YA KUPATA Scalp psoriasis NI PAMOJA NA;

– Walevyi wa Pombe

– Watu ambao wana msongo wa mawazo(stress au depression).

– Watu wenye tatizo la Uzito Mkubwa(Overweight au obesity).

– Wanaovuta Sigara au tumbaku

– Watu wenye magonjwa mengine ambayo ni jamii ya autoimmune diseases n.k.

DALILI ZA TATIZO LA scalp psoriasis

– Uwepo wa mabaka mabaka kama MBA kichwani

– Uwepo wa vitu vyeupe kama Unga eneo la nywele zinapoanzia kwenye Paji la Uso,Kichwani,Nyuma karibu na shingoni na kuzunguka masikioni

– Ngozi ya eneo lililoathiriwa kuwa kavu zaidi

– Ngozi ya eneo lilioathiriwa kuwa na magamba magamba au mipasuko(Cracks/fissures).

– Mtu kuwashwa sana Kichwani n.k

CHANZO CHA TATIZO HILI LA Scalp psoriasis

Scalp psoriasis ni ugonjwa ambao upo kwenye kundi la autoimmune disease,Ugonjwa huu chanzo chake ni mfumo wako wa kinga wenyewe, ambao husababisha seli hai kwenye ngozi yako kuzaliana kwa haraka zaidi.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.