Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Watu wengi hutumia WANGA Zaidi kulivyo Virutubisho Vingine na haya ni Madhara yake

Watu wengi hutumia WANGA Zaidi kulivyo Virutubisho Vingine na haya ni Madhara yake,

Ukweli ni kwamba Asilimia Kubwa ya Watu hula vyakula vya WANGA Zaidi kuliko vyakula vyenye aina nyingine za Virutubisho,

Hali ambayo hupelekea miili yetu kupata kirutubisho cha aina Moja WANGA ZAIDI,kuliko virutubisho vingine

Hapa ndipo madhara mengi huanza kujitokeza kwenye afya zetu, kama vile;

– Kupatwa na matatizo ya Uzito mkubwa,viribatumbo n.k

– Kupatwa na matatizo ya Sukari

– Kupatwa na magonjwa kama presha,magonjwa mbali mbali ya Moyo N.k

KUMBUKA: wataalam wa afya hushauri mlo kamili, ikiwa na maana ya mlo wenye virutubisho vyote kwa kiwango sahihi kinachohitajika mwilini,

Na sio mlo wenye wanga mwingi kuliko vingine.

Virutubisho ni kama: Proteins,Vitamins,Wanga,Madini ya Chuma,Zinc,Potassium n.k

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA JUU YA TATIZO LOLOTE TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.