Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Bonus Tips: Kama Unapata Dalili Kama hizi Muone daktari au tuwasiliane Hapa

Bonus Tips: Kama Unapata Dalili Kama hizi Muone daktari au tuwasiliane Hapa

Ni siku nyingine tena, na nimatumaini yangu kwamba Upo Salama,au Kama ni Mgonjwa basi Pole na kama Una dalili kama hizi,hakikisha unapata msaada zaidi,

Kumbuka;Dalili hizi sio za Ugonjwa Mmoja ila tumegusa Kona mbali mbali kama viashiria vya matatizo mbali mbali Mwilini.

Leo nmekuandalia Bonus Tips kwa Ajili ya kuhakikisha Unaimarika Kiafya zaidi, Twende Pamoja,SOMA HAPA…!!

KAMA UNAPATA DALILI KAMA HIZI HAPA CHINI,CHUKUA HATUA YA KUPATA MSAADA ZAIDI WA KIMATIBABU

– Uzito kupungua kwa Kasi sana au Mwili kuisha wenyewe bila kujua Sababu ni nini

– Kupata kikohozi ambacho hakiishi Muda wote

– Joto la mwili kuwa juu sana,Kuhisi baridi sana au Kupatwa na Homa mara kwa mara

– Kupata maumivu makali sana ya kichwa,ambacho hata ukitumia dawa za maumivu hutuliza tu na tatizo hurudi pale pale

– Kupatwa na maumivu makali kooni wakati wa Kumeza Kitu,kuhisi kitu kimebakia Kooni n.k

– Kupata maumivu ya misuli,Joints, pamoja na viungo mbali mbali vya Mwili

– Kupata uchovu kupita kiasi hata kama hujafanya kazi yoyote

– Kukosa kabsa pumzi,kushindwa kupumua au kupumua kwa shida sana

– Macho kutoa machozi yenyewe

– Masikio kutoa usaha,kupiga kelele n.k

– Hamu ya chakula kupotea kabsa, kutopata ladha yoyote ya chakula,wala Kutohisi harufu ya kitu chochote tena

– Kupata maumivu makali ya tumbo,kutapika damu, kuharisha damu au kujisaidia kinyesi kilichochanganyika na Damu n.k

– Mwili na Misuli kwa Ujumla kukosa nguvu kabsa,kushindwa kutembea,

– Kupata maumivu makali ya Mgongo pamoja na Kiuno

– Kupata maumivu makali sehemu ya Haja kubwa kwa vipindi tofauti mfano; wakati umekaa,au kujisaidia n.k

– Kuona nyama zinajitokeza sehemu ya Haja kubwa, Puani, Au Ukeni

– Kukojoa Damu,Usaha au mkojo uliochanganyika na vtu kama mbegu za kiume

– Kupata vidonda sehemu za Siri,malenge lenge, Masundo sundo(genital warts) n.k

– Kukosa Kabsa Hamu ya kufanya Tendo la Ndoa, Kuchelewa kufika kileleni, kuwahi kufika Kileleni, kushindwa kubeba Mimba au kubebesha Mwanamke mimba n.k

– Kupata maumivu makali wakati wa Kukojoa,mkojo kuchoma n.k

– Kupatwa na miwasho sana sehemu Za Siri

– Kupatwa na maumivu makali ya tumbo hasa Upande wa Kushoto mwa tumbo

– Macho kuona marue rue,

– Kupatwa na kizunguzungu sana

– Mapigo ya Moyo kwenda Mbio

– Mwili kutoa sana jasho tofauti na ilivyokawaida kwako

– Kuvimba Sana Miguu,Mikono Pamoja na Uso n.k

Asante.., Na huu ndyo Mwisho wa Bonus Tips kwa Leo…!!!!

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass