Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Zaidi ya Watu Million 480 Wanaumwa Magonjwa ya Kinywa(Oral Diseases) barani Afrika

Zaidi ya Watu Million 480 Wanaumwa Magonjwa ya Kinywa(Oral Diseases) barani Afrika,

Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani-WHO,zinaeleza kwamba;

Kuna Zaidi ya Watu Million 480 Wanaumwa Magonjwa ya Kinywa(Oral Diseases) barani Afrika,

Na hii ni Orodha ya magonjwa/matatizo mbali mbali ya Kinywa ambayo yanaongoza kutokea sana kwenye Bara la Afrika,

1. Kutoboka kwa meno (kuoza kwa meno)

2. Ugonjwa wa fizi

3. Saratani ya kinywa

4. Tatizo la Noma

5. Udhihirisho wa VVU Mdomoni

6. Mtu kuumia meno na Kinywa

7. Tatizo la Mdomo Sungura yaani Cleft lip & palate n.k

Usisahau kuhusu Afya ya Kinywa!

Na huu ndyo Ujumbe wa shirika la Afya duniani-WHO kwa Upande wa Afrika,ambao wameandika kwenye Ukurasa wao wa Twitter;

“Don’t forget about your #OralHealth!

Common oral diseases in #Africa are:
? Dental caries (tooth decay)
? Gum disease
? Oral cancer
? Noma
? Oral manifestation of HIV
? Oro-dental trauma
? Cleft lip & palate”

#Category:Afya ya Kinywa Na Meno

# Magonjwa ya Kinywa&Meno

#Credits:WHO-AFRICA

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.