Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
Magonjwa

Maumivu Yasiyoelezeka: Sababu za Mwanamke Kubleed Kwa Muda Mrefu na Jinsi ya Kupunguza

Maumivu Yasiyoelezeka: Sababu za Mwanamke Kubleed Kwa Muda Mrefu na Jinsi ya Kuipunguza

Mwanamke kubleed kwa muda mrefu

Tatizo la Mwanamke kubleed kwa muda mrefu linatokana na nini, katika makala hii tumechambua baadhi ya sababu za Mwanamke kubleed kwa muda mrefu bila damu kukata.

Chanzo cha Mwanamke kubleed kwa muda mrefu

TATIZO LA MWANAMKE KUBLEED  KWA MDA MREFU

Tatizo hili la Mwanamke kubleed kwa muda mrefu limekuwa likiwasumbua wanawake wengi sana kwa hivi sasa na huku wengine mbali na kubleed muda mrefu pia wanapata matatizo mengine kama vile;

  • Kupata maumivu makali ya tumbo
  • mzunguko mzima wa hedhi kutokueleweka kabsa. Mfano; mara apitishe miezi miwili bila kuona siku zake, mara aone mara mbili ndani ya mwezi Mmoja N.k

Ni Muda gani tunasema Mwanamke ana tatizo la kubleed kwa muda mrefu

Tunasema mwanamke ana tatizo la kubleed kwa muda mrefu, hasa pale period inapotoka kwa zaidi ya Siku Saba Mfululizo. Hilo ni tatizo…

SABABU ZA MWANAMKE KUBLEED KWA MUDA MREFU NI PAMOJA NA;

1. Matumizi ya Njia mbali mbali za Uzazi wa mpango kama Sindano au Vipandikizi, ambapo huchangia shida ya Mvurugiko wa Vichocheo vya mwili,

ndipo mwanamke hupata matokeo mbali mbali kama vile;

  • kublid kwa Muda mrefu mfululizo,
  • Kupata period isiyoeleweka(Irregular menstrual period),
  • kukaa muda mrefu pasipo kuona siku zake, N.K

2. Tatizo la Damu kushindwa kuganda ambapo kwa kitaalam hujulikana kama Coagulopathy,

Hali hii ya damu kushindwa kuganda husababisha damu kutoka Mfululizo bila kukata.

hivo basi, huweza kusababisha Mwanamke kubleed kwa muda mrefu pasipo damu kukata.

3. Kupatwa na shida ya Uvimbe ndani ya kizazi ambapo mbali na kupata dalili za kublid kwa Muda mrefu pia mwanamke huweza kupata bleed au kuona siku zake mara mbili ndani ya mwezi mmoja.

4. Mvurugiko wa vichocheo vya mwili ambao huchangiwa na Sababu mbali mbali kama vile;

  • matumizi ya baadhi ya njia za uzazi mpango,
  • matumizi ya baadhi ya Dawa ambazo huhusisha kurekebisha vichocheo vya mwili au Hormones,N.K.

Shida hii ya Mwanamke kubleed kwa muda mrefu inatibika kabsa kama ukipata tiba sahihi,Endapo una tatizo hili na hujui cha kufanya tuwasiliane ili upate msaada.

KWA USHAURI ZAIDI,ELIMU AU TIBA TUWASILIANE KWA NAMBA +255758286584.

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.