Magonjwa
Viazi huweza kuchangia kwa kiwango kikubwa ongezeko la uzito,Kwa Mujibu wa Tafiti ndani ya ncbi
Viazi huweza kuchangia kwa kiwango kikubwa ongezeko la uzito,Kwa Mujibu wa Tafiti ndani ya ncbi.
Bila kujali aina wala mapishi ya viazi,viazi huweza kuchangia kwa kiwango kikubwa ongezeko la uzito,Kwa Mujibu wa Tafiti ndani ya ncbi.
Ncbi Iligundua kuwa viazi au chipsi za viazi zilizosindikwa ndivyo vilivyochangia pakubwa katika kuongeza uzito,
huku kila chakula kwa siku kikisababisha ongezeko la wastani wa kilo 0.58 mpaka kilo 0.77.