Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Ghana imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya #VVU, kwa kuzindua vipimo vya kujipima VVU

Ghana imepiga hatua kubwa katika mapambano dhidi ya #VVU, kwa kuzindua vipimo vya kujipima VVU(HIV self-testing kit).

Shirika la Afya Duniani(WHO) linapendekeza matumizi ya Vipimo vya Kujipima HIV kwa mtu binafsi yaani HIV self-testing, hapa tunazungumzia vipimo ambavyo unaweza kujipima wewe peke yako,

WHO inapendeza matumizi ya Vipimo hivi kama njia bora na muhimu ya kushughulikia pengo lililopo katika uchunguzi wa VVU,

ikiwa ni pamoja na uchunguzi wa VVU miongoni mwa watu muhimu na makundi yaliyo katika hatari Zaidi.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.