Iraq imeondoa trakoma na kuwa nchi ya 50 kutambuliwa na WHO: Dr. Tedros
Hatimaye nchi ya Iraq imefanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trakoma na kuwa nchi ya 50 kutambuliwa na WHO
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus anasema;
“Nina furaha kutangaza kwamba Iraq imeondoa trakoma na kuwa nchi ya 50 kutambuliwa na @WHO kwa kuondoa ugonjwa wa kitropiki uliopuuzwa, na hivyo kuashiria nusu ya hatua kuelekea lengo la nchi 100 lililowekwa kwa Mwaka 2030.
Haya ni mafanikio muhimu kuelekea #AfyaKwaWote. Hongera!”.
This is an important achievement towards #HealthForAll. Congratulations!
Happy to announce that #Iraq has eliminated #trachoma & become the 50th country recognized by @WHO for eliminating a neglected tropical disease, marking the halfway point towards the 100-country target set for 2030.
This is an important achievement towards #HealthForAll.…
— Tedros Adhanom Ghebreyesus (@DrTedros) July 30, 2023