Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Je, wajua wanawake huwa na maambukizi ya UTI mara nyingi zaidi kadri wanavyozeeka?

Je, wajua wanawake huwa na maambukizi ya UTI mara nyingi zaidi kadri wanavyozeeka?

Fahamu kadri Umri unavyokuwa mkubwa zaidi ndivo wanawake huwa kwenye hatari zaidi ya kupata maambukizi ya UTI,

Maambukizi zaidi ya UTI huweza kutokea kwa Sababu ya;

Kupungua kiwango cha vichocheo au hormones za estrogen karibu na kipindi cha ukomo wa hedhi(menopause),

Hali ambayo hupelekea mabadiliko kwenye hali ya kawaida ukeni, kusababisha bacteria wabaya kuwa wengi zaidi kuliko wale wazuri n.k

Matokeo yake mwanamke anakuwa kwenye hatari zaidi ya kupata maambukizi kwenye njia ya Mkojo au UTI.

•Soma Zaidi hapa,Dalili za Ugonjwa wa UTI kwa Wanawake na Wanaume.

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.