Kutopata chanjo ya Polio ni Sababu kuu ya kuongeza hatari ya Mlipuko wa Polio #WHOMalawi
Kutopata chanjo ya Polio ni Sababu kuu ya kuongeza hatari ya Mlipuko wa Polio:
Kufuatia Campain ya Chanjo dhidi ya Polio inayoendelea nchini Malawi, Shirika la afya duniani kwa Upande wa Malawi(WHOMalawi) limeendelea kusisitiza umuhimu wa utoaji wa chanjo hii ya Kuzuia Polio hasa kwa Watoto.
Ifahamike kwamba, Watoto wenye umri wa chini ya Miaka 5 wapo kwenye hatari zaidi ya kupata POLIO.
WHOMalawi: Utoaji mdogo wa chanjo ni sababu kuu ya kuongeza hatari kwa mlipuko wa #polio.
Saidia kutokomeza polio kwa kumwambia rafiki au jirani kuhusu kampeni inayoendelea ya chanjo ya polio nchini #Malawi na umuhimu wa chanjo ya kawaida“routine immunization”.
Campain hii ya utoaji wa chanjo dhidi ya Ugonjwa wa Polio, ni muhimu sana ili kuzuia mlipuko wa Polio,
nchi mbali mbali zimeendesha Campain hii muhimu ya Kuzuia Polio ikiwemo hapa kwetu TANZANIA.
Hakikisha Mtoto wako amepata chanjo hii muhimu ya Kuzuia Ugonjwa wa Polio.
#VaccinesWork
#ProtectAgainstPolio
Low vaccination coverage is a major risk factor for #polio outbreak. Help eradicate polio by telling a friend or neighbor about ongoing polio vaccination campaign in #Malawi and importance of routine immunization.#VaccinesWork#ProtectAgainstPolio pic.twitter.com/ImuSj0JeAT
— WHOMalawi (@WHOMalawi) July 16, 2023