Kwa Ushauri na Tiba Juu ya Tatizo lolote linalokusumbua TUWASILIANE HAPA.

Bofya hapa
News

Matokeo; Zaidi ya watu milioni moja hupoteza maisha kutokana na homa ya ini kila mwaka

Dalili za hepatitis mara nyingi huonekana mara tu ugonjwa unapoendelea,

Kwa Mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani(WHO) kuhusu Ugonjwa wa homa ya Ini(Hepatitis);

Zaidi ya watu milioni moja hupoteza maisha kutokana na homa ya ini kila mwaka.

Ndiyo maana afya ya Ini ni msingi kwa afya ya binadamu,

Hivyo basi, Kwa pamoja, lazima tupanue wigo wa ufikiaji wa huduma za upimaji na matibabu yanayohusu INI,ili kukomesha kabsa Ugonjwa wa homa ya Ini,

Pia elimu ya kutosha inahitajika ili kuujua Vizuri ugonjwa wa homa ya Ini,Chanzo,Jinsi unavyosambaa, Dalili zake pamoja na Namna ya kujikinga na Ugonjwa huu hatari.

#OneLifeOneLiver #WorldHepatitisDay

 

Dr.Ombeni Mkumbwa

Ushauri|Tiba|CheckIn ContactUs; +255758286584 or INBOX. For More Healthtips everyday Link In http://cdp.pvh.mybluehost.me Also Follow us on Instagram @afyaclass

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.